Ligue 1
Ligue 1 pia huitwa Ligue 1 Conforama kwa sababu za udhamini na Conforama, ni ligi ya soka la Ufaransa kwa klabu za soka za wanaume.
Ligue 1 ina vilabu 20 na inafanya kazi ya kukuza mfumo wa vijana wa Ufaransa unaoitwa Ligue 2.
Ligue 1 ni moja kati ya ligi za juu za kimataifa, kwa sasa ni nafasi ya tano katika bara la Ulaya nyuma ya La Liga ya Hispania, Ligi Kuu ya Uingereza EPL, Serie A ya Italia na Bundesliga ya Ujerumani.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Ligue 1 kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz