Ursula Ledochowska

Ursula Ledochowska (jina la kitawa: Ursula wa Yesu; Loosdorf, Melk, Austria ya Chini, 17 Aprili 1865Roma, Italia, 29 Mei 1939) alikuwa mtawa wa Polandi, mwanzilishi wa shirika la Waursula wa Moyo Mteseka wa Yesu[1][2][3].

Picha yake halisi ya mwaka 1907.

Kwa ajili hiyo alisafiri kwa shida sana katika nchi za Polandi, Skandinavia, Ufini na Urusi.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 20 Juni 1983, akamtangaza mtakatifu tarehe 18 Mei 2003[4].

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka kwenye tarehe ya kifo chake[5].

Shirika lake lilipata kibali cha Papa tarehe 4 Juni 1923. Kufikia mwaka 2005 lilikuwa na masista 832 katika nyumba 98 zikiwemo zile za Tanzania.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.