26 Desemba

tarehe
Nov - Desemba - Jan
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Tarehe 26 Desemba ni siku ya 360 ya mwaka (ya 361 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 5.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya mtakatifu Stefano, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Papa Dionysius, Zenoni wa Maiuma, Papa Zosimus, Eutimi wa Sardi, Visenta Maria Lopez n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 26 Desemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.