Wayazidi

Wayazidi ni kabila la watu wanaoishi hasa katika eneo la Kurdistan[1][2][3] na kwa namna ya pekee katika sehemu yake nchini Iraq[4][5], lakini wengine wengi wamekimbilia Ujerumani[6][7] na nchi nyingine.

Wanawake wa Kiyazidi wakiwa wamevaa nguo za kitamaduni.

Wanakadiriwa kuwa milioni moja au moja unusu.

Wanafuata dini yao maalumu ambayo inamuabudu Mungu mmoja tu. Kwa ajili yake wamedhulumiwa sana na Waislamu waliotawala eneo lao, kwanza Waarabu, halafu Waturuki.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje