ISO 4217

ISO 4217 ni kifupisho sanifu cha pesa za nchi zote. Kimewekwa na Shirika la Kimataifa la Usanifishaji (kwa Kiingereza "International Organization for Standardization, ISO").

Tiketi ya ndege ikionesha gharama katika msimbo wa ISO 4217

ISO 4217 ni orodha ya alama za vifupisho vya pesa. Kila kifupisho kina herufi tatu. Herufi mbili zinarejea nchi, na herufi ya tatu inarejea jina la pesa la nchi husika.

Kwa mfano,

  • kifupisho cha pesa ya Japani ni JPY, yaani JP kwa Japani, na Y kwa Yen.
  • kifupisho cha pesa ya Tanzania ni TZS, yaani TZ kwa Tanzania, na S kwa Shilingi.
  • vivyo hivyo Kenya ina KES, yaani KE kwa Kenya, na S kwa shilingi.
  • tofauti kwa sababu za mabadiliko ya kihistoria ni kifupisho cha pesa ya Uganda ni UGX, yaani UG kwa Uganda. X inaitaja shilingi mpya ya Uganda (tangu 1990). Hadi 1987 kifupisho cha ISO ilikuwa UGS kwa ajili ya shilingi ya kwanza iliyoharibika kabisa wakati wa utawala wa Iddi Amin na vita ya wenyewe kwa wenyewe iliyofuata, ikawa "old shilling" yenye kifupisho cha ISO UGW kwa kipindi cha 1989 to 1990 halafu tangu mwaka 1990 UGX pekee kwa shilingi mpya iliyokuwa sasa pesa halali ya pekee nchini Uganda.[1]

Orodha ya vifupisho vya ISO 4217

http://www.jhall.demon.co.uk/currency/ Archived 5 Machi 2007 at the Wayback Machine.
KifupishoNambaEJina la PesaNchi zinazotumia pesa hiyo
AED7842Dirham ya Falme za KiarabuFalme za Kiarabu
AFN9712AfghaniAfghanistan
ALL0082LekAlbania
AMD0512DramArmenia
ANG5322GulderAntili za Kiholanzi
AOA9732KwanzaAngola
ARS0322Peso ya ArgentinaArgentina
AUD0362Dola ya AustraliaAustralia, Australian Antarctic Territory, Christmas Island, Cocos (Keeling) Islands, Heard and McDonald Islands, Kiribati, Nauru, Norfolk Island, Tuvalu
AWG5332Gulder ya ArubaAruba
AZN9442ManatAzerbaijan
BAM9772MarkBosnia na Herzegovina
BBD0522Dola ya BarbadosBarbados
BDT0502TakaBangladesh
BGN9752LevaBulgaria
BHD0483Dinar ya BahrainBahrain
BIF1080Faranka ya BurundiBurundi
BMD0602Dola ya Bermuda)Bermuda
BND0962Dola ya BruneiBrunei
BOB0682BolivianoBolivia
BRL9862Real ya BrazilBrazil
BSD0442Dola ya BahamasBahamas
BTN0642NgultrumBhutan
BWP0722PulaBotswana
BYN9332Rubli ya ByelarusiBelarus
BZD0842Dola ya BelizeBelize
CAD1242Dola ya KanadaKanada
CDF9762Faranka ya KongoJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
CHE9472WIR Euro (pesa ya ziada)Uswisi
CHF7562Faranka ya UswisiUswisi
CHW9482WIR Franc ya (pesa ya ziada)Uswisi
CLP1520Peso ya ChileChile
CNY1562Yuan RenminbiChina
COP1702Peso ya KolumbiaColombia
COU9702Unidad de Valor RealColombia
CRC1882ColonCosta Rica
CUP1922Peso ya KubaCuba
CVE1322Escudo ya Cabo VerdeCape Verde
CYP1962Pound ya CyprusKupro
CZK2032KorunaUcheki
DJF2620Faranka ya JibutiJibuti
DKK2082Krone ya DenmarkDenmark, Faroe Islands, Greenland
DOP2142Peso dominicanoDominican Republic
DZD0122Dinar ya AlgeriaAlgeria
EGP8182Pound ya MisriMisri
ERN2322NakfaEritrea
ETB2302BirrEthiopia
EUR9782EuroUmoja wa Ulaya, angalia Eurozone
FJD2422Dola ya FijiFiji
FKP2382Pound ya FalklandFalkland Islands
GBP8262Pound SterlingUingereza
GEL9812LariGeorgia
GHC2882CediGhana
GIP2922Pound ya GibraltarGibraltar
GMD2702DalasiGambia
GNF3240Faranka ya GuineaGuinea
GTQ3202QuetzalGuatemala
GYD3282Dola ya GuyanaGuyana
HKD3442Dola ya Hong KongHong Kong
HNL3402LempiraHonduras
HTG3322GourdeHaiti
HUF3482ForintHungary
IDR3602RupiaIndonesia
ILS3762ShekelIsrael
INR3562RupiaBhutan, Uhindi
IQD3683Dinar ya IraqIraq
IRR3642RialIran
ISK3522Krona ya IcelandIceland
JMD3882Dola ya JamaicaJamaica
JOD4003Dinar ya YordaniJordan
JPY3920YenJapani
KES4042Shilingi ya KenyaKenya
KGS4172SomKirgizia
KHR1162RielCambodia
KMF1740Faranka ya KomoroComoros
KPW4082Won ya Korea KaskaziniKorea Kaskazini
KRW4100Won ya Korea KusiniKorea Kusini
KWD4143Dinar ya KuwaitKuwait
KYD1362Dola ya CaymanCayman Islands
KZT3982TengeKazakhstan
LAK4182KipLaos
LBP4222Lira ya LebanoniLebanon
LKR1442Rupia ya Sri LankaSri Lanka
LRD4302Dola ya LiberiaLiberia
LSL4262LotiLesotho
LYD4343Dinar ya LibyaLibya
MAD5042Dirham ya MorokoMorocco, Sahara ya Magharibi
MDL4982Leu ya MoldovaMoldova
MGA9690AriaryMadagascar
MKD8072DenarJamhuri ya Masedonia
MMK1042KyatMyanmar
MNT4962TugrikMongolia
MOP4462PatacaMacau
MRO4782OuguiyaMauritania
MUR4802Rupia ya MorisiMorisi
MVR4622RufiyaaMaldives
MWK4542Kwacha ya MalawiMalawi
MXN4842Peso ya MeksikoMexico
MYR4582RinggitMalaysia
MZN9432MeticalMsumbiji
NAD5162Dola ya NamibiaNamibia
NGN5662NairaNigeria
NIO5582Cordoba OroNicaragua
NOK5782Krone ya NorweiNorway
NPR5242Rupia ya NepalNepal
NZD5542Dola ya New ZealandCook Islands, New Zealand, Niue, Pitcairn, Tokelau
OMR5123Rial OmaniOman
PAB5902BalboaPanama
PEN6042Nuevo SolPeru
PGK5982KinaPapua New Guinea
PHP6082Peso ya UfilipinoPhilippines
PKR5862RupiaPakistan
PLN9852ZlotyPoland
PYG6000GuaraniParaguay
QAR6342Rial ya QatarQatar
ROL6422Leu ya RomaniaRomania
RON9462Leu mpyaRomania
RSD9412Dinari ya SerbiaSerbia
RUB6432RubliUrusi, Abkhazia, Ossetia Kusini
RWF6460Faranka ya RwandaRwanda
SAR6822RiyalSaudi Arabia
SBD0902Dola ya visiwa vya SolomonSolomon Islands
SCR6902RupiaSeychelles
SDD7362Dinari ya SudanSudan
SDG9382Lira ya SudaniSudan
SEK7522Krona ya UswidiSweden
SGD7022Dola ya SingapurSingapur
SHP6542Pound ya Saint HelenaSaint Helena
SLL6942LeoneSierra Leone
SOS7062Shilingi ya SomaliaSomalia
SRD9682Dola ya SurinamSuriname
STD6782DobraSão Tomé na Príncipe
SYP7602Lira ya SyriaSyria
SZL7482LilangeniEswatini
THB7642BahtThailand
TJS9722SomoniTajikistan
TMM7952Manat ya TurkmenistaniTurkmenistan
TND7883Dinari ya TunisiaTunisia
TOP7762Pa'angaTonga
TRY9492Lira ya UturukiUturuki
TTD7802Dola ya Trinidad and TobagoTrinidad na Tobago
TWD9012Dola ya TaiwanTaiwan
TZS8342Shilingi ya TanzaniaTanzania
UAH9802HryvniaUkraine
UGX8002Shilingi ya UgandaUganda
USD8402Dolar ya MarekaniAmerican Samoa, British Indian Ocean Territory, Ecuador, El Salvador, Guam, Haiti, Marshall Islands, Micronesia, Northern Mariana Islands, Palau, Panama, Timor ya Mashariki, Visiwa vya Turks na Caicos, Marekani, Visiwa vya Virgin
UYU8582Peso UruguayoUruguay
UZS8602SomUzbekistan
VEB8622BolívarVenezuela
VND7042DồngVietnam
VUV5480VatuVanuatu
WST8822TalaSamoa
XAF9500Faranka ya CFA - BEACKamerun, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kongo, Chad, Guinea ya Ikweta, Gabon
XAG961.Fedha (aunsi ya Troy moja)
XAU959.Dhahabu (aunsi ya Troy moja)
XCD9512Dola ya KaribiAnguilla, Antigua na Barbuda, Dominica, Grenada, Montserrat, Saint Kitts na Nevis, Saint Lucia, Saint Vincent na Visiwa vya Grenadini
XOF9520Faranka ya CFA - BCEAOBenin, Burkina Faso, Côte d'Ivoire, Guinea-Bissau, Mali, Niger, Senegal, Togo
XPD964.Palladi (aunsi ya Troy moja)
XPF9530Faranka ya CFPPolynesia ya Kifaransa, New Caledonia, Wallis na Futuna
XPT962.Platini (aunsi ya Troy moja)
YER8862Rial ya YemeniYemen
ZAR7102RandAfrika Kusini
ZMK8942Kwacha ya ZambiaZambia
ZWD7162Dola ya ZimbabweZimbabwe

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu ISO 4217 kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.