X

Alfabeti ya Kilatini
(kwa matumizi ya Kiswahili)
AaBbCcchDd
EeFfGgHhIiJj
KkLlMmNnOoPp
QqRrSsTtUuVv
WwXxYyZz


X ni herufi ya 24 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni piamalfabeti ya Kiswahili. Sauti yake ni "ks". Haitumiki katika mwandishi wa maneno ya Kiswahili isipokuwa kwa maneno ya kigeni.

Kati ya namba za Kiroma X humaaaisha namba 10.