L
Alfabeti ya Kilatini (kwa matumizi ya Kiswahili) | ||||||
---|---|---|---|---|---|---|
Aa | Bb | Cc | ch | Dd | ||
Ee | Ff | Gg | Hh | Ii | Jj | |
Kk | Ll | Mm | Nn | Oo | Pp | |
Rr | Ss | Tt | Uu | Vv | ||
Ww | Xx | Yy | Zz |
L ni herufi ya 12 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa. Asili yake ni Lambda ya alfabeti ya Kigiriki.
Maana za L
- Kwa magari L ni alama ya gari kutoka Luxemburg.
- kati ya namba za Kiroma "L" ni alama ya namba 50
Historia ya L
Kisemiti asilia Fimbo la kuchungia ng'ombe | Kifinisia Lamed | Kigiriki Lambda | Kietruski L | Kilatini L |
---|---|---|---|---|
Asili ya alama ni picha andishi iliyoonyesha fimbo la kuchungia ng'ombe. Wafinisia walirahisihsa alama hiyo na kuiita kwa neno lao la fimbo hili "lamed". Wakaitumia kama alama ya sauti "l". Wagiriki wa Kale wakaipokea kama "Lambda" na kubadilisha umbo lake kuwa kama paa ya nyumba.
Waetruski walipendelea umbo la kifinisia kwa kuiandika kama alama ya sauti "l". Waroma wa Kale wakageuza alama na kunyosha mikono yake kuwa L jinsi iliovyo hadi leo.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu L kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaFaili:Celliphine Chespol Tampere 2018.jpgFaili:20090815 Meselech Melkamu.jpgMwanzoTendo la ndoaJoseph ButikuUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaWikipedia:JumuiaKamusi za KiswahiliTanzaniaTakwimuHaki za watotoOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKumaOrodha ya nchi za AfrikaAina za manenoFasihi simuliziMikoa ya TanzaniaVivumishiKisaweDiamond PlatnumzUandishi wa ripotiMajadiliano ya mtumiaji:Mr Accountable/Archived Agosti 2010ShairiUtamaduniUkimwiKigezo:All system messagesUgonjwa wa moyoJumuiya ya Afrika MasharikiKiswahiliNahauUsafi wa mazingiraOrodha ya makabila ya TanzaniaSitiariLughaShinikizo la juu la damuBarua pepeSentensiOrodha ya Watakatifu Wakristo