22 Februari

tarehe
Jan - Februari - Mac
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
29
Kalenda ya Gregori

Tarehe 22 Februari ni siku ya hamsini na tatu ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 312 (313 katika miaka mirefu).

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya Ukulu wa Mt. Petro, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Papia wa Yerapoli, Paskasi wa Vienne, Masimiano wa Ravenna, Margerita wa Cortona n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 22 Februari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.