27 Februari

tarehe
Jan - Februari - Mac
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
29
Kalenda ya Gregori

Tarehe 27 Februari ni siku ya hamsini na nane ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 307 (308 katika miaka mirefu).

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Gregori wa Narek, Juliani na Eunus, Besas, Honorina wa Rouen, Baldomero wa Lyon, Basili na Prokopi, Luka wa Messina, Anna Line, Gabrieli wa Bikira Maria wa Mateso n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 27 Februari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.