23 Agosti

tarehe
Jul - Agosti - Sep
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Tarehe 23 Agosti ni siku ya 235 ya mwaka (ya 236 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 130.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Rosa wa Lima, Zakayo wa Yerusalemu, Abondi na Irenei, Siriako na Arkelao, Lupo wa Sistov, Klaudi, Asteri na Neoni, Flaviani wa Autun n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 23 Agosti kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.