1 Agosti

tarehe
Jul - Agosti - Sep
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Tarehe 1 Agosti ni siku ya 213 ya mwaka (ya 214 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 152.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Alfonso Maria wa Liguori, Ndugu Wayahudi saba na mama yao, Eleazari mfiadini, Sekundini wa Roma, Felisi wa Gerona, Esuperi wa Bayeux, Severo wa Auch, Friardi na Sekondeli, Yona wa Marchiennes, Etelvoldi, Petro Favre, Dominiko Nguyen Van Hanh, Bernardo Vu Van Due n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 1 Agosti kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.