Maeneo ya Shirikisho la Urusi

Maeneo ya Shirikisho la Urusi ni maeneo yanayofanya kikatiba Shirikisho la Urusi. Maeneo haya ni kama majimbo au madola katika nchi nyingine ya shirikisho. Jina la Kirusi ni "субъекты федерации" (subyekti federatsii) inayoweza kutafsiriwa kama "nafsi za shirikisho" au "wanachama wa shirikisho".

Hali halisi yana viwango tofauti sana vya kujitawala kuhusu mammbo ya ndani ama kisiasa, kiuchumi au kiutamaduni. Lakini kila eneo la shirikisho lina wawakilishi 2 katika Halmashauri ya Shirikisho la Urusi ambayo ni kitengo cha juu cha bunge la Urusi.

Katiba ya Urusi inataja aina mbalimbali za maeneo ya shirikisho[1]:

Mwaka 1993 kulikuwa na maeneo mwanachama 89. Idadi hii ilipungua kuwa 83 kwenye mwaka kutokana na kuunganishwa kwa maeneo mbalimbali. Mwaka 2014 mji wa Sevastopol na Jamhuri ya Krim yalikuwa maeneo ya 84b na 85 ya Shirikisho la Urusi ingawa hatua hii haikubaliwa na umma wa kimataifa.

Orodha

Na.[2]JinaMji mkuu
(Mji mkubwa kama si mji mkuu)
BenderaNemboKanda ya ShirikishoKanda ya UchumiEneo (km2)[3]Wakazi[4]Mwaka wa kuundwa
01AdygeaMaykop KusiniKaukazi Kaskazini7,600447,1091922
02BashkortostanUfa VolgaUral143,6004,104,3361919
03BuryatiaUlan-Ude SiberiaSiberia Mashariki351,300981,2381923
04Jamhuri ya AltaiGorno-Altaysk SiberiaSiberia Magharibi92,600202,9471922
05DagestanMahachkala Kaukazi KaskaziniKaukazi Kaskazini50,3002,576,5311921
06IngushetiaMagas
(Mji mkubwa: Nazran)
Kaukazi KaskaziniKaukazi Kaskazini4,000467,2941992
07Kabardino-BalkariaNalchik Kaukazi KaskaziniKaukazi Kaskazini12,500901,4941936
08KalmykiaElista KusiniVolga76,100292,4101957
09Karachaevo-CherkesiaCherkessk Kaukazi KaskaziniKaukazi Kaskazini14,100439,4701957
10KareliaPetrozavodsk Faili:Coat of Arms of Jamhuri ya Karelia.svgKaskazini MagharibiKaskazini172,400716,2811956
11Jamhuri ya KomiSyktyvkar Kaskazini MagharibiKaskazini415,9001,018,6741921
12Mari ElYoshkar-Ola VolgaVolga-Vyatka23,200727,9791920
13MordoviaSaransk VolgaVolga-Vyatka26,200888,7661930
14Sakha (Yakutia)Yakutsk Mashariki ya MbaliMashariki ya mbali3,103,200949,2801922
15Ossetia Kaskazini-AlaniaVladikavkaz Kaukazi KaskaziniKaukazi Kaskazini8,000710,2751924
16TatarstanKazan VolgaVolga68,0003,779,2651920
17TuvaKyzyl SiberiaSiberia Mashariki170,500305,5101944
18UdmurtiaIzhevsk VolgaUral42,1001,570,3161920
19HakasiaAbakan SiberiaSiberia Mashariki61,900546,0721930
20ChechnyaGrozniy Kaukazi KaskaziniKaukazi Kaskazini15,3001,103,6861991
21ChuvashiaCheboksary VolgaVolga-Vyatka18,3001,313,7541920
22Altai KraiBarnaul SiberiaSiberia Magharibi169,1002,607,4261937
75Zabaykalskiy KraiChita SiberiaSiberia Mashariki431,5001,155,3462008
41Kamchatka KraiPetropavlovsk-Kamchatskiy Mashariki ya MbaliMashariki ya mbali472,300358,8012007
23Krasnodar KraiKrasnodar KusiniKaukazi Kaskazini76,0005,125,2211937
24Krasnoyarsk KraiKrasnoyarsk SiberiaSiberia Mashariki2,339,7002,966,0421934
90Perm KraiPerm VolgaUral160,6002,819,4212005
25Primorskiy KraiVladivostok Mashariki ya MbaliMashariki ya mbali165,9002,071,2101938
26Stavropol KraiStavropol Kaukazi KaskaziniKaukazi Kaskazini66,5002,735,1391934
27Habarovsk KraiHabarovsk Mashariki ya MbaliMashariki ya mbali788,6001,436,5701938
28Amur OblastBlagoveshchensk Mashariki ya MbaliMashariki ya mbali363,700902,8441932
29Arhangelsk OblastArhangelsk Kaskazini MagharibiKaskazini587,4001,336,5391937
30Astrahan OblastAstrahan KusiniVolga44,1001,005,2761943
31Belgorod OblastBelgorod KatiChernozyomni Kati27,1001,511,6201954
32Bryansk OblastBryansk KatiKati34,9001,378,9411944
33Vladimir OblastVladimir KatiKati29,0001,523,9901944
34Volgograd OblastVolgograd KusiniVolga113,9002,699,2231937
35Vologda OblastVologda
(Mji mkubwa: Cherepovets)
Kaskazini MagharibiKaskazini145,7001,269,5681937
36Voronezh OblastVoronezh KatiChernozyomni Kati52,4002,378,8031934
37Ivanovo OblastIvanovo KatiKati21,8001,148,3291936
38Irkutsk OblastIrkutsk SiberiaSiberia Mashariki767,9002,581,7051937
39Kaliningrad OblastKaliningrad Kaskazini Magharibi

Kaliningrad

15,100955,2811946
40Kaluga OblastKaluga KatiKati29,9001,041,6411944
42Kemerovo OblastKemerovo
(Mji mkubwa: Novokuznetsk)
SiberiaSiberia Magharibi95,5002,899,1421943
43Kirov OblastKirov VolgaVolga-Vyatka120,8001,503,5291934
44Kostroma OblastKostroma KatiKati60,100736,6411944
45Kurgan OblastKurgan UralUral71,0001,019,5321943
46Kursk OblastKursk KatiChernozyomni Kati29,8001,235,0911934
47Leningrad OblastMji mkubwa: Gatchina[a] Kaskazini MagharibiKaskazini Magharibi84,5001,669,2051927
48Lipetsk OblastLipetsk KatiChernozyomni Kati24,1001,213,4991954
49Magadan OblastMagadan Mashariki ya MbaliMashariki ya mbali461,400182,7261953
50Moscow OblastMji mkubwa: Balashiha[b] KatiKati45,9006,618,5381929
51Murmansk OblastMurmansk Kaskazini MagharibiKaskazini144,900892,5341938
52Nizhniy Novgorod OblastNizhniy Novgorod VolgaVolga-Vyatka76,9003,524,0281936
53Novgorod OblastVelikiy Novgorod Kaskazini MagharibiKaskazini Magharibi55,300694,3551944
54Novosibirsk OblastNovosibirsk SiberiaSiberia Magharibi178,2002,692,2511937
55Omsk OblastOmsk SiberiaSiberia Magharibi139,7002,079,2201934
56Orenburg OblastOrenburg VolgaUral124,0002,179,5511934
57Oryol OblastOryol KatiKati24,700860,2621937
58Penza OblastPenza VolgaVolga43,2001,452,9411939
60Pskov OblastPskov Kaskazini MagharibiKaskazini Magharibi55,300760,8101944
61Rostov OblastRostov juu ya Don KusiniKaukazi Kaskazini100,8004,404,0131937
62Ryazan OblastRyazan KatiKati39,6001,227,9101937
63Samara OblastSamara VolgaVolga53,6003,239,7371928
64Saratov OblastSaratov VolgaVolga100,2002,668,3101936
65Sahalin OblastYuzhno-Sahalinsk Mashariki ya MbaliMashariki ya mbali87,100546,6951947
66Sverdlovsk OblastYekaterinburg UralUral194,8004,486,2141935
67Smolensk OblastSmolensk KatiKati49,8001,049,5741937
68Tambov OblastTambov KatiChernozyomni Kati34,3001,178,4431937
69Tver OblastTver KatiKati84,1001,471,4591935
70Tomsk OblastTomsk SiberiaSiberia Magharibi316,9001,046,0391944
71Tula OblastTula KatiKati25,7001,675,7581937
72Tyumen OblastTyumen UralSiberia Magharibi1,435,2003,264,8411944
73Ulyanovsk OblastUlyanovsk VolgaVolga37,3001,382,8111943
74Chelyabinsk OblastChelyabinsk UralUral87,9003,603,3391934
76Yaroslavl OblastYaroslavl KatiKati36,4001,367,3981936
77Moscow KatiKati2,51110,382,754
78Sankt Peterburg Kaskazini MagharibiKaskazini Magharibi1,4394,662,547
79Oblast huru ya KiyahudiBirobijan Mashariki ya MbaliMashariki ya mbali36,000190,9151934
83Okrug Huru wa NenetsNaryan-Mar Kaskazini MagharibiKaskazini176,70041,5461929
86Okrug huru ya Hanty-MansiHanty-Mansiysk
(Mji mkubwa: Surgut)
UralSiberia Magharibi523,1001,432,8171930
87Okrug huru ya ChukotkaAnadyr Mashariki ya MbaliMashariki ya mbali737,70053,8241930
89Okrug huru ya Yamalo-NenetsSalehard
(Mji mkubwa: Noviy Urengoy)
UralSiberia Magharibi750,300507,0061930
82Krim[c]Simferopol Krim[5]26,964[6]1,966,801[7]2014
92Sevastopol[c] Krim[5]864[8]379,200[8]2014

Marejeo