Kikirgizi
(Elekezwa kutoka Kikyrgyz)
Kikirgizi ni lugha ya Kiturki nchini Kirgizia, Uchina, Afghanistan, Urusi, Uturuki na Uzbekistan inayozungumzwa na Wakirgizi. Kikirgizi ni lugha rasmi katika nchi za Kirgizia. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kikirgizi nchini Kirgizistan imehesabiwa kuwa watu 3,830,000. Pia kuna wasemaji 160,000 nchini Uchina (2000), 60,100 nchini Tajikistan (2012) na 750 nchini Afghanistan (2000). Idadi za wasemaji wa Kikirgizi nchini Uturuki, Uzbekistan na Urusi hazijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikirgizi iko katika kundi la Kiturki ya Magharibi.
Viungo vya nje
- lugha ya Kikirgizi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikirgizi Archived 8 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikirgizi katika Glottolog
- lugha ya Kikirgizi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikirgizi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia