Kimalagasy
Kimalagasy ni mlolongo wa lugha za Kiaustronesia nchini Madagaska inayozungumzwa na Wamalagasy. Lugha za Kimalagasy hasa ni Kiantankarana, Kibara, Kibetsimisaraka-Kaskazini, Kibetsimisaraka-Kusini, Kimasikoro, Kisakalava, Kimalagasy Sanifu, Kitandroy-Mahafaly, Kitanosy, Kitesaka na Kitsimihety. Idadi ya wasemaji wote wa lugha za Kimalagasy imezidi watu milioni 16. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, lugha za Kimalagasy iko katika kundi la Kibarito.
Viungo vya nje
- makala za OLAC kuhusu Kimalagasy Archived 25 Desemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha za Kimalagasy katika Glottolog
- lugha za Kimalagasy kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimalagasy kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz